Rais Samia ahutubia wananchi wa Mchinga Lindi

 

Mgombea wa nafasi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Taifa Ndugu Dkt. Samia Suluhu Hassan akihutubia wananchi wa Mchinga katika muendelezo wa Kampeni za Uchaguzi kwa CCM, mkoani Lindi tarehe 25 Septemba, 2025.

Sehemu ya wananchi wa Mchinga, mkoani Lindi waliohudhuria mkutano wa hadhara wa Mgombea wa nafasi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Taifa Ndugu Dkt. Samia Suluhu Hassan leo tarehe 25 Septemba, 2025.

Mgombea wa nafasi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Taifa Ndugu Dkt. Samia Suluhu Hassan akimkabidhi Ilani ya Uchaguzi ya CCM, Mgombea Ubunge wa Jimbo la Mchinga Salma Kikwete mara baada ya kuhutubia wananchi wa Jimbo hilo mkoani Lindi tarehe 25 Septemba, 2025.

Mgombea Ubunge wa Jimbo la Mchinga Salma Kikwete akionyesha Ilani ya Uchaguzi ya CCM, aliyokabidhiwa na Mgombea wa nafasi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Taifa Ndugu Dkt. Samia Suluhu Hassan mara baada ya kuhutubia wananchi wa Jimbo hilo mkoani Lindi tarehe 25 Septemba, 2025.

Chapisha Maoni

0 Maoni