Pokea Ilani ya uchaguzi ya CCM Ridhiwani

 

Mgombea wa nafasi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Taifa Ndugu Dkt. Samia Suluhu Hassan akimkabidhi Ilani ya Uchaguzi Mgombea Ubunge wa Jimbo la Chalinze Ndugu Ridhiwani Kikwete mara baada ya kuhutubia wananchi wa Chalinze katika muendelezo wa Kampeni za Uchaguzi za CCM tarehe 28 Septemba, 2025.

Mgombea Ubunge wa Jimbo la Chalinze Ndugu Ridhiwani Kikwete akiwa ameshikilia Ilani ya Uchaguzi ya CCM, mara baada ya kukabidhiwa na Mgombea wa nafasi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Taifa Ndugu Dkt. Samia Suluhu Hassan katika muendelezo wa Kampeni za Uchaguzi za CCM tarehe 28 Septemba, 2025.

Mgombea wa nafasi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Taifa Ndugu Dkt. Samia Suluhu Hassan akizungumza jambo na  Mgombea Ubunge wa Jimbo la Chalinze Ndugu Ridhiwani Kikwete katika muendelezo wa Kampeni za Uchaguzi za CCM tarehe 28 Septemba, 2025.

Mgombea wa nafasi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Taifa Ndugu Dkt. Samia Suluhu Hassan akizungumza na wananchi wa Chalinze katika muendelezo wa Kampeni za Uchaguzi kwa CCM mkoani Pwani tarehe 28 Septemba, 2025.

Chapisha Maoni

0 Maoni