Katibu
Mtendaji wa Chama cha Barabara Tanzania (TARA) Mhandisi Hangai Bishanga akipata
maelezo kutoka kwa Kaimu Mkuu wa Kitengo cha Uhusiano na Mawasiliano kwa Umma wa
Wakala ya Barabara za Vijijini na Mijini (TARURA) Bi. Catherine Sungura, kuhusu
namna TARURA wanavyotekeleza miradi mbalimbali ya ujenzi na ukarabati wa
miundombinu ya barabara nchini.
TARURA
inashiriki mafunzo ya usimamizi wa mikataba kwenye miradi yanayoendelea katika
hoteli ya Gold Crest jijini Arusha ambapo TARA imeandaa mafunzo hayo kwa sekta
ya usafirishaji nchini.



0 Maoni