Mgombea wa
Nafasi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama cha
Mapinduzi (CCM) Taifa Ndugu Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwasili katika Uwanja wa
Ndege wa Songwe kwa ajili ya muendelezo wa Kampeni za Uchaguzi Mkuu kwa Chama
hicho mkoani Songwe tarehe 03 Septemba, 2025.

Shamra shamra
za mapokezi ya Mgombea wa Nafasi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na
Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Taifa Ndugu Dkt. Samia Suluhu Hassan
mara baada ya kuwasili katika uwanja wa Ndege wa Songwe tarehe
03 Septemba, 2025.

0 Maoni