Mgombea wa nafasi ya Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Taifa Ndugu
Dkt. Samia Suluhu Hassan akimshukuru Aliyekuwa Mwenyekiti wa Chadema katika
Jimbo la Lindi Salum Khalfani Bar'wani mara baada ya kujiunga rasmi na CCM
katika muendelezo wa Kampeni za Uchaguzi kwa Chama hicho, mkoani Lindi tarehe
25 Septemba, 2025.
Aliyekuwa
Mwenyekiti wa Chadema katika Jimbo la Lindi Ndugu Salum Khalfani Bar'wani
akizungumza na wananchi mara baada ya kujiunga rasmi na Chama Cha Mapinduzi
(CCM) katika muendelezo wa Kampeni za Uchaguzi kwa CCM, mkoani Lindi tarehe
25 Septemba, 2025.
Aliyekuwa
Mwenyekiti wa Chadema katika Jimbo la Lindi Ndugu Salum Khalfani Bar'wani akikabidhiwa
fulana na Katibu Mkuu wa CCM Dkt. Asha-Rose Migoro baada ya kujiunga rasmi na
Chama Cha Mapinduzi (CCM) katika muendelezo wa Kampeni za Uchaguzi kwa CCM,
mkoani Lindi tarehe 25 Septemba, 2025.



0 Maoni