Mpina wa ACT Wazalendo achukua fomu ya urais INEC

 

Mwenyekiti wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi, Mhe. Jaji wa Mahakama ya Rufaa Jacobs Mwambegele akimkakabidhi mkoba wenye fomu za kuomba kuteuliwa kuwa Mgombea wa Kiti cha Rais na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia tiketi ya Chama cha Alliance for Change and Transparency (ACT Wazalendo). Mhe. Luhaga Joelson Mpina. Alichukua fomu hizo leo Agosti 15, 2025 ambapo Tume inataraji kufanya uteuzi Agosti 27 mwaka huu. (Picha na INEC).

Mwenyekiti wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguz, Mhe. Jaji wa Mahakama ya Rufaa Jacobs Mwambegele akimkakabidhi mkoba wenye fomu za kuomba kuteuliwa kuwa Mgombea wa Kiti cha Rais na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia tiketi ya Chama cha Chama cha Alliance for Change anTransparency (ACT Wazalendo), Mhe. Mhe. Luhaga Joelson Mpina. Mgombea huyo waaliambatana na Mgombea Mwenza, Mhe. Fatma Abdulhabib Ferej (kushoto) alichukua fomu hizo leo Agosti 15, 2025 ambapo Tume inataraji kufanyauteuzi Agosti 27 mwaka huu. Kulia ni Mkurugenzi wa Uchaguzi wa Tume, Ndg. Ramadhan Kailima.  (Picha na INEC).

Mgombea wa Kiti cha Rais kwa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia tiketi ya Chama cha Chama cha Alliance for Change anTransparency (ACT Wazalendo), Mhe. Mhe. Luhaga Joelson Mpinana Mgombea Mwenza, Mhe. Fatma Abdulhabib Ferej wakionesha mkoba wa fomu.

Chapisha Maoni

0 Maoni