Mgombea urais wa CCM Dkt. Samia afanya kampeni Mvomero

Mgombea wa Nafasi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Taifa Ndugu Dkt. Samia Suluhu Hassan akizungumza na wananchi wa Mvomero katika mkutano wa hadhara wa Kampeni za Uchaguzi Mkuu kwa Chama hicho uliofanyika Mvomero mkoani Morogoro tarehe 30 Agosti, 2025.

Mgombea wa Nafasi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Taifa Ndugu Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwasili Mvomero kwa ajili ya kuzungumza na wananchi wa Mvomero katika muendelezo wa Kampeni za Uchaguzi Mkuu kwa Chama hicho mkoani Morogoro tarehe 30 Agosti, 2025.

Wananchi wa Mvomero waliojitokeza kwa wingi kumsikiliza mgombea wa Nafasi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Taifa Ndugu Dkt. Samia Suluhu Hassan katika mkutano wa hadhara wa Kampeni za Uchaguzi Mkuu kwa Chama hicho uliofanyika Mvomero mkoani Morogoro tarehe 30 Agosti, 2025.

Chapisha Maoni

0 Maoni