Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) imetoa angalizo la upepo mkali unaofikia kilomita 40 kwa saa na mawimbi makubwa yanayofikia mita 2, katika mikoa saba nchini.
TMA imetoa agngalizo hilo kwa baadhi ya maeneo ya ukanda wa ziwa Viktoria (mikoa ya Kagera, Geita, Mwanza, Mara na Simiyu) na ukanda wa kusini mwa ziwa Tanganyika (mikoa ya Katavi na Rukwa).
0 Maoni