Tume Huru ya Uchaguzi (INEC) imetoa uamuzi wa rufaa dhidi ya Wasimamizi wa Uchaguzi kwa pingamizi za uteuzi wa wagombea Ubunge katika Jamhuri ta Muungano na Udiwani Tanzania Bara.