Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akizindua usafirishaji wa
mizigo kwa kutumia usafiri wa Treni ya umeme ya SGR kutoka Dar es Salaam hadi
Dodoma eneo la Kwala Marshalling Yard mkoani Pwani,
tarehe 31 Julai, 2025.

Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akivuta kitambaa kuashiria
uwekaji wa jiwe la msingi Kongani ya Viwanda ya Kwala (Kwala Industrial Park)
iliyopo Kwala, Kibaha vijijini mkoani Pwani tarehe 31 Julai, 2025. Lengo kuu la
Kongani ya viwanda ni kujenga viwanda 2000 na kwasasa kuna viwanda 12 katika
eneo lenye ekari 2500.

0 Maoni