Waziri Mkuu Kassim
Majaliwa leo Juni 17, 2025 amemwakilisha Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan katika
kilele cha Maadhimisho ya Miaka 50 ya Taasisi ya Elimu Tanzania (TET)
yanayofanyika katika viwanja vya Taasisi hiyo, Bamaga Jijini Dar es Salaam.
kaulimbiu ya
maadhimisho ni Kitabu Kimoja Mwanafunzi Mmoja, Mpe Kitabu Gusa Ndoto .Kaulimbiu
hiyo inaunga mkono juhudi za serikali za kuchapa na kusambaza vitabu kwa lengo
la kufikia uwiano wa Kitabu kimoja Mwanafunzi mmoja.




0 Maoni