Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa na baadhi ya
wanafunzi wa Shule ya Sekondari ya Amali ya Mwamapalala iliyopo wilayani
Itilima mkoani Simiyu. Rais Mhe. Dkt. Samia ameweka jiwe hilo la msingi kwa
niaba ya shule zote 103 za Sekondari za Amali nchini
tarehe 18 Juni, 2025.

Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiongea na wananchi wakati
akifungua Kiwanda cha kuchakata pamba cha Shree Rajendra Agro Industries
Limited kilichopo Maswa mkoani Simiyu tarehe 18 Juni, 2025.
Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akifungua Kiwanda cha
kuchakata pamba cha Shree Rajendra Agro Industries Limited kilichopo Maswa
mkoani Simiyu tarehe 18 Juni, 2025.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akifungua Kiwanda cha kuchakata pamba cha Shree Rajendra Agro Industries Limited kilichopo Maswa mkoani Simiyu tarehe 18 Juni, 2025.
0 Maoni