Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akisogeza kitambaa
kuashiria ufunguzi wa mradi wa Maji na Usafi wa Mazingira wa Lamadi, Wilayani
Busega wakati akihitimisha ziara yake ya kikazi mkoani Simiyu tarehe 19 Juni,
2025.
Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akifungua mradi wa Maji na
Usafi wa Mazingira wa Lamadi, Wilayani Busega wakati akihitimisha ziara yake ya
kikazi mkoani Simiyu tarehe 19 Juni, 2025.
Shamrashamra za
ufunguzi wa mradi wa Maji na Usafi wa Mazingira wa Lamadi, Wilayani Busega
mkoani Simiyu tarehe 19 Juni, 2025.
Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akizungumza na wananchi wa
Nyashimo wakati akihitimisha ziara yake ya kikazi Busega mkoani Simiyu
tarehe 19 Juni, 2025.
Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akipokea Tuzo ya shukrani
kutoka kwa Waziri wa Maji Mhe. Jumaa Aweso mara baada ya kuweka jiwe la msingi
mradi wa kukabiliana na mabadiliko ya tabianchi na kuwahutubia wananchi wa
Nyashimo, Busega mkoani Simiyu tarehe 19 Juni, 2025.
0 Maoni