Waziri Mkuu Kassim
Majaliwa akifurahia jambo na Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt. Doto
Biteko, Bungeni jijini Dodoma Juni 4, 2025. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
Waziri Mkuu Kassim
Majaliwa akizungumza na Mbunge wa Kasulu Vijijini, Augustine Vuma Bungeni
jijini Dodoma Juni 4, 2025. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
Waziri Mkuu Kassim
Majaliwa akizungumza na Waziri wa Fedha, Mwigulu Nchemba Bungeni jijini Dodoma
Juni 4, 2025. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akizungumza na Mbunge wa Ilemela Dkt. Angelina Mabula Bungeni jijini Dodoma Juni 4, 2025. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
0 Maoni