Misa ya kusimikwa rasmi Papa Leo XIV imeanza katika Kanisa
la St Peter's Square, ili kuanza rasmi kutumikiwa wadhifa huo wa kuliongoza
Kanisa Katoliki Duniani.
Papa Leo walichaguliwa kuwa kiongozi mpya wa Kanisa Katoliki mapema mwezi huu, kufuatia kifo cha mtangulizi wake Papa Francis.
Papa Leo ni papa wa 267, na ni papa wa kwanza kushika nafasi hiyo kutoka taifa la Marekani.
0 Maoni