Waziri Mkuu Kassim Majaliwa
asubuhi ya leo Aprili 16, 2025 amewasili eneo la Somanga kukagua miundombinu ya
barabara kuu ya Dar es Salaam-Lindi ambayo imeathiriwa na mvua zinazoendelea
kunyesha nchini.
Mheshimiwa Waziri Mkuu Majaliwa
ameambatana na Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa Dkt. Stegomena Tax
pamoja na Waziri wa Ujenzi Abdallah Ulega.
0 Maoni