Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto
Biteko leo 17 Aprili, 2025 ameshiriki Mkutano wa Mawaziri wa Nishati wa kikanda
kwa nchi za Afrika Mashariki ambao ni
wanachama wa Umoja wa Soko la pamoja la Kuuziana Umeme na Kuimarisha Mifumo ya
Gridi ya EAPP (Eastern Africa Power Pool).
Mkutano huo wa siku mbili umeanza tarehe 16, Aprili 2025 na unatarajiwa kumalizika leo Aprili 17, 2025 jijini Kampala nchini Uganda.
0 Maoni