Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan leo Machi 20,
2025 amekutana na kuzungumza na Mjumbe Maalum wa Rais wa Misri, Mhe. Badr
Abdelatty ambaye pia ni Waziri wa Mambo ya Nje, Uhamiaji na Wamisri Waishio Nje
wa Jamhuri ya Kiarabu ya Misri Ikulu ndogo ya Tunguu - Zanzibar.
Mazungumzo
hayo pia yamehudhuriwa na Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt.
Doto Biteko, Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe.
Mahmoud Thabit Kombo, Naibu Katibu Mkuu Nishati - Mafuta na Gesi, Dkt. James
Mataragio pamoja na Viongozi wengine.
0 Maoni