Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akijumuika na viongozi kwenye Iftar aliyowaandalia viongozi wa dini, wazee wa Mkoa wa Arusha pamoja na makundi mbalimbali katika viwanja vya Ikulu ndogo ya Arusha jana tarehe 08 Machi, 2025.
Baadhi ya viongozi wa dini, wazee wa Mkoa wa Arusha pamoja na makundi mbalimbali wakiwa katika viwanja vya Ikulu ndogo ya Arusha jana tarehe 08 Machi, 2025, katika Iftar waliyoandaliwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan.

0 Maoni