Wakili MKuu
wa Serikali, Dkt. Ally Possi akizungumza na watumishi wa Ofisi ya Wakili Mkuu
wa Serikali kwa lengo la kutoa mwelekeo wa Ofisi hiyo kwenye kikao
kilichofanyika Jijini Dar es Salaam.
Naibu Wakili
Mkuu wa Serikali, Bi. Alice Mtulo akimkaribisha Wakili Mkuu wa Serikali, Dkt. Ally
Possi (hayupo pichani) wakati wa kikao cha watumishi wa Ofisi hiyo
kilichofanyika Jijini Dar es Salaam.
Kaimu
Mkurugenzi wa Idara ya Usimamizi wa Mashauri na Udhibiti Ubora wa Ofisi ya
Wakili Mkuu wa Serikali, ndugu Camilius Ruhinda akitoa maelezo kuhusu namna
Mfumo wa Usimamizi wa Mashauri unavyofanya kazi kwa watumishi wa Ofisi hiyo
Jijini Dar es Salaam.
Mwenyekiti wa TUGHE tawi la Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali, ndugu Mtani Songorwa akitoa neno la shukrani kwa uongozi wa Ofisi hiyo wakati wa kikao cha watumishi wa Ofisi hiyo kilichofanyika Jijini Dar es Salaam.
Watumishi wa Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali wakimsikiliza Wakili Mkuu wa Serikali, Dkt. Ally Possi (hayupo pichani) wakati wa kikao chake na watumishi wa Ofisi hiyo kilichofanyika Jijini Dar es Salaam.
Watumishi wa Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali wakimsikiliza Wakili Mkuu wa Serikali, Dkt. Ally Possi (hayupo pichani) wakati wa kikao chake na watumishi wa Ofisi hiyo kilichofanyika Jijini Dar es Salaam.
Wakili Mkuu wa Serikali, Dkt. Ally Possi (aliyeketi katikati) akiwa kwenye picha ya pamoja na Menejimenti ya Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali baada ya kikao chake na watumishi wa Ofisi hiyo kilichofanyika Jijini Dar es Salaam.
0 Maoni