Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia
Suluhu Hassan akifungua Shule ya Sekondari ya Wasichana Tanga iliyopo Mabalanga
katika Kijiji cha Michungwani Wilaya ya Kilindi, ikiwa ni muendelezo wa ziara
yake ya kikazi Kilindi mkoani Tanga tarehe 25 Februari, 2025.

Muonekano wa Shule ya Sekondari ya Wasichana Tanga iliyopo Mabalanga katika Kijiji cha Michungwani Wilaya ya Kilindi, iliyofunguliwa leo na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia
Suluhu Hassan, ikiwa ni muendelezo wa ziara
yake ya kikazi Kilindi mkoani Tanga tarehe 25 Februari, 2025.
Baadhi ya wanafunzi wa Shule ya Sekondari ya Wasichana Tanga iliyopo Mabalanga katika Kijiji cha Michungwani Wilaya ya Kilindi, iliyofunguliwa leo na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia
Suluhu Hassan ikiwa ni muendelezo wa ziara
yake ya kikazi Kilindi mkoani Tanga tarehe 25 Februari, 2025.
Baadhi ya wanafunzi wa Shule ya Sekondari ya Wasichana Tanga iliyopo Mabalanga katika Kijiji cha Michungwani Wilaya ya Kilindi, iliyofunguliwa leo na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan ikiwa ni muendelezo wa ziara yake ya kikazi Kilindi mkoani Tanga tarehe 25 Februari, 2025.
Baadhi ya wanafunzi wa Shule ya Sekondari ya Wasichana Tanga wakiwa juu ya jengo la utawala, shule hiyo iliyopo katika Kijiji cha Michungwani Wilaya ya Kilindi, imefunguliwa leo na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan ikiwa ni muendelezo wa ziara yake ya kikazi Kilindi mkoani Tanga tarehe 25 Februari, 2025.
0 Maoni