Jesi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) limetoa taarifa ya kupoteza wanajeshi wake wawili katika mashambulizi ya eneo la Sake na Goma nchini DRC, yaliyofanywa na waasi wa M23 Januari 24 na 28 2025. Pia askari wengine wanne wamejeruhiwa na wanaendelea kupatiwa matibabu mjini Goma.
0 Maoni