Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ameshiriki Mkutano wa kumi na
nane wa bunge ulioanza leo Januari 28, 2025, bungeni jijini Dodoma.
Mkutano huo ni mahsusi kwa ajili ya Kamati za Kudumu za Bunge kuwasilisha Taarifa za Mwaka za shughuli za kamati kwa kipindi cha Januari 2024 hadi Januari 2025.
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akizungumza na Naibu Waziri wa Fedha Hamad Chande (kulia) Naibu Waziri Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Dennis Londo na Mbunge wa Buchosa Erick Shingongo, Bungeni Jijini Dodoma Januari 28, 2025.
0 Maoni