Waziri
Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na waombolezaji alipomuwakilisha Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan katika Maombolezo na Kuaga mwili wa marehemu Jaji Frederick Werema,
Mwanasheria Mkuu wa Serikali Mstaafu kwenye viwanja vya Karimjee jijini Dar es
salaam, Januari 02, 2025. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
Waziri
Mkuu, Kassim Majaliwa akitoa heshima za mwisho kwa marehemu Jaji Frederick
Werema, Mwanasheria Mkuu wa Serikali Mstaafu,
alipomuwakilisha Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan katika Maombolezo na Kuaga mwili wa
marehemu Jaji Werema kwenye viwanja vya Karimjee jijini Dar es salaam,
Januari 02, 2025. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
Waziri
Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Rais Mstaafu, Jakaya Kikwete alipowasili
kwenye viwanja vya Ukumbi wa Karimjee jijini Dar es Salaam kumuwakilisha Rais
Dkt. Samia Suluhu Hassan katika
Maombolezo na Kuaga mwili wa marehemu
Jaji Federick Werema, Mwanasheria Mkuu wa Serikali Mstaafu, Januari 02,
2025. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
Waziri
Mkuu, Kassim Majaliwa akitia saini kitabu cha maombolezo ya kifo cha Jaji
Frederick Werema, Mwanasheria Mkuu wa Serikali Mstaafu alipomuwakilisha Rais
Dkt. Samia Suluhu Hassan katika
Maombolezo na Kuaga mwili wa marehemu Jaji Werema kwenye viwanja vya Karimjee jijini Dar es
salaam, Januari 02, 2025. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
0 Maoni