Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) imefanikiwa kukusanya
kiasi cha Shilingi Trilioni 8.741 katika kipindi cha robo ya pili ya mwaka wa
fedha 2024/25 cha Oktoba hadi Desemba, sawa na ufanisi wa asilimia 104.63 la
lengo la kukusanya Shilingi Trilioni 8.354.
0 Maoni