Rais Samia kufanya ziara ya Zimbabwe kesho

 

Rais wa Tanzania  na Mwenyekiti wa Asasi ya Siasa, Ulinzi na Usalama ya Jumuiya ya Maendeleo ya Kusini mwa Afrika (SADC)Dkt. Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kusafiri kuelekea Harare, Zimbabwe kesho Januari 31, 2025 kwa ziara ya kikazi ya siku moja.



Chapisha Maoni

0 Maoni