Rais Samia awaapisha Majaji wa Mahakama ya Rufani

 

Mhe. Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan awaapisha Majaji wa Mahakama ya Rufani, leo tarehe 22 Januari, 2025 Ikulu Chamwino mkoani Dodoma.Mhe Rais Dkt. Samia pia  amewaasa watendaji hao kuleta mabadiliko kwenye maeneo waliyopelekwa.

Majaji wa Mahakama ya Rufani wakila Kiapo cha Maadili kwenye hafla iliyofanyika Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma tarehe 22 Januari, 2025.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Viongozi mbalimbali mara baada ya kuwaapisha Majaji wa Mahakama ya Rufani kwenye hafla iliyofanyika Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma tarehe 22 Januari, 2025.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye hafla ya kuwaapisha Majaji wa Mahakama ya Rufani, Ikulu, Chamwino Mkoani Dodoma tarehe 22 Januari, 2025.

Chapisha Maoni

0 Maoni