Rais Samia atuma salamu za rambirambi kifo cha DC Ester

 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan amemtumia salamu za rambirambi Mkuu wa Mkoa wa Songwe Daniel Chongolo kufuatia kifo cha aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Mbozi Ester Mahawe.



Chapisha Maoni

0 Maoni