CAF yaifungia Simba kucheza mechi moja bila mashabiki

 

Shirikisho la Mpira wa Miguu Barani Afrika (CAF) limeifungiwa klabu ya Simba mechi moja kucheza bila mashabiki na kuitoza faini ya dola 40,000, kutokana na vurugu zilizojitokeza katika mchezo dhidi ya SS Sfaxien uliofanyika Desemba 15, 2024.



Chapisha Maoni

0 Maoni