EWURA yatangaza bei za mafuta kwa mwezi Januari

 

Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA) imetangaza bei kikomo za bidhaa ya petroli nchini zilizoanza kutumika leo Jumatano ya Januari mosi 2025 kuanzia saa 6:01 usiku.



Chapisha Maoni

0 Maoni