Msajili Mstaafu wa Vyama vya Siasa Tendwa afariki

 

Msajili wa Vyama vya Siasa Mstaafu John Tendwa amefariki dunia usiku wa kuamkia leo katika Hospitali ya Muhimbili alipokuwa akipatiwa matibabu kwa muda mrefu.

Taratibu za Mazishi zinafanyika nyumbani kwa marehemu Kibamba jijini Dar es Salaam.

Chapisha Maoni

0 Maoni