Uongozi wa Manispaa
ya Sumbawanga mkoani Rukwa umefanikiwa kuua kundi la mbwa wazururaji 84,
wakiwamo mbwa 22 wanaodaiwa kuhusika katika tukio la kuwashambulia watoto
wawili na kuwaua.
Kufuatia
tukio hilo la kushambuliwa watoto na mbwa Manispaa ya Sumbawanga mkoani Rukwa iliamua
kununua bunduki moja na kuanza kufanya msako wa kuwaua mbwa wote wazururaji.
0 Maoni