Jeshi la Polisi nchini limesema kuwa limejipanga vizuri kuimarisha usalama katika sikukuu za Krismasi na mwaka mpya kwa kushirikiana na wananchi, viongozi wa nyumba za ibada, Kamati ya Usalama za Nyumba za Ibada ambako ibada mbalimbali zitafanyika na viongozi wa Serikali za Mitaa ili kuhakikisha kila mmoja anasherehekea kwa amani na utulivu.
0 Maoni