Jen. Mkunda aomboleza kifo cha Meja Jenerali Busungu

 

Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi Jenerali Jacob John Mkunda ametangaza kutokea kifo cha Meja Jenerali Mstaafu Martin Shiminzi Busungu, kilichotokea jana Desemba 24 majira ya saa 10:15 alasiri wakati akipatiwa matibabu katika hospitali ya Taifa Muhimbili.



Chapisha Maoni

0 Maoni