Mamlaka ya
Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA) imetangaza bei kikomo za bidhaa
za mafuta ya petroli hapa nchini zitakazotumika kuanzia leo Jumatano ya tarehe
4 Desemba 2024 saa 6:01 usiku.
Kwa mwezi
Desemba 2024, bei za rejareja na za jumla katika Mikoa ya Dar es Salaam, Tanga
na Mtwara ni kama zinavyoonekana katika Jedwali Na. 1 na 2, mtawalia.
Kwa taarifa yote kuhusu bei ya mafuta ya petroli, dizeli na mafuta ya taa bonyeza linki hii hapo chini:-
https://www.ewura.go.tz/wp-content/uploads/2024/12/Cap-Prices-for-December-2024-Kiswahili.pdf
0 Maoni