Makamu wa
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akiwasili
katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Catumbela nchini Angola leo tarehe 04
Desemba 2024. Makamu wa Rais anamwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan katika Mkutano wa Wakuu wa Nchi za
Marekani, Kongo na Zambia kuhusu Ushoroba wa Lobito (Lobito Corridor), ambapo
Tanzania ni mgeni mwalikwa katika Mkutano huo unaofanyika katika mji wa Lobito
nchini Angola tarehe 04 Desemba 2024.

0 Maoni