Wakili Mkuu wa Serikali akutana na Rais wa Mahakama ya EAC

Jaji kiongozi wa Mahakama ya Jumuiya ya Jumuiya ya Afrika Mashariki, Mhe. Jaji Yohane Masara akizungumza wa Viongozi wa Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali na Mahakama hiyo wakati wa ziara ya Wakili Mkuu wa Serikali, Dkt. Ally Possi alipotembelea Mahakama hiyo kwa lengo la kujionea jinsi Mahakama hiyo inavyotekeleza makujumu yake jijini Arusha.

Wakili Mkuu wa Serikali, Dkt. Ally Possi (kushoto) akipokea zawadi kutoka Rais wa Mahakama ya Jumuiya ya Afrika Mashariki, Mhe. Jaji Nestory Kayobera baada ya kikao baina yao kilichofanyika kwenye ukumbi wa mikutano wa Mahakama hiyo Jijini Arusha.

Wakili Mkuu wa Serikali, Dkt. Ally Possi (kushoto) akimkabidhi zawadi ya Jarida la Ofisi ya Wakili Mkuu Rais wa Mahakama ya Jumuiya ya Afrika Mashariki baada ya kikao baina yao kilichofanyika kwenye ukumbi wa mikutano wa Mahakama hiyo Jijini Arusha.

Chapisha Maoni

0 Maoni