TANESCO kutonunua umeme wa Songas Tanzania

 

Tanesco yasema mkataba wake wa kununua umeme kutoka kampuni ya Songas Tanzania umemalizika Oktoba 31, 2024 na kwamba Serikali imeamua kutoendelea na mkataba huo.



Chapisha Maoni

0 Maoni