SGR yabeba abiria zaidi milioni 1 ndani ya miezi minne

 

Shirika la Reli Tanzania (TRC) limefanikiwa kusafirisha abiria zaidi ya milioni 1 katika kipindi cha miezi minne tangu uzinduzi wa njia za treni ya umemem ya SGR kati ya Dar es Salaam na Dodoma mmnamo Juni 2024.

Taarifa iliyotolewa na Mkuu wa Kitengo cha Uhusiano cha TRC, Fredy Mwanjala imesema kuwa idadi hiyo ni mara mbili ya abiria waliosafirishwa na treni ya zamani ambao ni abiria 400,000 katika kipindi cha mwaka mmoja.



Chapisha Maoni

0 Maoni