Rais Samia ashiriki Misa ya kuaga mwili wa Mafuru

 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akishiriki katika misa ya kuaga mwili wa aliyekuwa Katibu Mtendaji wa Tume ya Mipango, Bw. Lawrence Nyasebwa Mafuru katika Viwanja vya Karimjee, jijini Dar es Salaam, tarehe 14, Novemba 2024.

Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa akishiriki katika misa ya kuaga mwili wa aliyekuwa Katibu Mtendaji wa Tume ya Mipango, Bw. Lawrence Nyasebwa Mafuru katika Viwanja vya Karimjee, jijini Dar es Salaam, tarehe 14, Novemba 2024.

Waziri wa Kilimo Mhe. Hussein Bashe na Waziri wa Madini Mhe. Anthony Mavunde wakiwa na viongozi wengine wakishiriki katika misa ya kuaga mwili wa aliyekuwa Katibu Mtendaji wa Tume ya Mipango, Bw. Lawrence Nyasebwa Mafuru katika Viwanja vya Karimjee, jijini Dar es Salaam, tarehe 14, Novemba 2024.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiongoza waombolezaji kuaga mwili wa aliyekuwa Katibu Mtendaji wa Tume ya Mipango Marehemu Lawrence Nyasebwa Mafuru katika Viwanja vya Karimjee Jijini Dar es Salaa, leo tarehe 14 Novemba, 2024.

Chapisha Maoni

0 Maoni