Rais wa
Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Hussein Ali Mwinyi
anaratajiwa kumwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt.
Samia Suluhu Hassan na Mwenyekiti wa Asasi ya Siasa, Ulinzi na Usalama wa
Jumuiya ya Maendeleo ya Kusini mwa Afrika (SADC) katika mkutano wa dharura wa
Wakuu wa Nchi na Serikali wa SADC utaofanyika Novemba 20, 2024.
0 Maoni