Wakili wa
Serikali Mkuu na Mwenyekiti wa Kamati ya Uadilifu wa Ofisi ya Wakili Mkuu wa
Serikali, Bi. Vivian Method akizungumza na wajumbe wa Kamati hiyo wakati
akimkaribisha Naibu Wakili Mkuu wa Serikali, Bi. Alice Mtulo (hayupo pichani)
kufungua mafunzo kuhusu utekelezaji wa Mkakati wa Taifa dhidi ya Rushwa Awamu
ya Nne yaliyofanyika Kibaha Mkoani Pwani.
Naibu Wakili
Mkuu wa Serikali, Bi. Alice Mtulo akiwa na wakufunzi wa
mafunzo kuhusu utekelezaji wa Mkakati wa Taifa dhidi ya Rushwa Awamu ya Nne
yaliyofanyika Kibaha Mkoani Pwani.
Naibu Wakili
Mkuu wa Serikali, Bi. Alice Mtulo (aliyesimama katikati) akiwa na wakufunzi wa
mafunzo kuhusu utekelezaji wa Mkakati wa Taifa dhidi ya Rushwa Awamu ya Nne
yaliyofanyika Kibaha Mkoani Pwani.
Naibu Wakili
Mkuu wa Serikali, Bi. Alice Mtulo (aliyesimama katikati) akiwa na wajumbe wa
Menejimenti ya Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali baada ya kufungua mafunzo kwa
wajumbe wa kamati ya Uadilifu ya Ofisi hiyo kuhusu utekelezaji wa Mkakati wa
Taifa dhidi ya Rushwa Awamu ya Nne yaliyofanyika Kibaha Mkoani Pwani.
0 Maoni