Waziri Mkuu Kassim Majaliwa
akizungumza na Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera Bunge na Uratibu
William Lukuvi, wakati wa kikao cha Nne cha Mkutano wa Kumi na Saba wa Bunge,
Bungeni jijini Dodoma Novemba 01, 2024 (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa
akizungumza na Naibu Waziri, Ofisi ya Rais, Mipango na Uwekezaji Stanslaus
Nyongo (kulia) na Naibu Waziri wa Maji Mhandisi Kundo Mathew (kushoto) wakati
wa kikao cha Nne cha Mkutano wa Kumi na Saba wa Bunge, Bungeni jijini Dodoma
Novemba 01, 2024 (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa
akizungumza Naibu Waziri wa Fedha Mhe. Hamad Hassan Chande (katikati) na Naibu
Waziri Ofisi ya Rais TAMISEMI, Dkt. Festo Dugange, wakati wa kikao cha Nne cha
Mkutano wa Kumi na Saba wa Bunge, Bungeni jijini Dodoma Novemba 01, 2024 (Picha
na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akizungumza Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais - Muungano na Mazingira Khamis Hamza Khamis, wakati wa kikao cha Nne cha Mkutano wa Kumi na Saba wa Bunge, Bungeni jijini Dodoma Novemba 01, 2024 (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa
akizungumza Mbunge wa Hai Saasisha Mafuwe, wakati wa kikao cha Nne cha Mkutano
wa Kumi na Saba wa Bunge, Bungeni jijini Dodoma Novemba 01, 2024 (Picha na
Ofisi ya Waziri Mkuu)
0 Maoni