Makamu
Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Tundu Lissu amewasili
leo Nyamongo, Tarime Vijiji Mkoani Mara na kutema cheche akiongea na wananchi.
Lissu amefika
Mara kwa ajili ya Kampeni za Uchaguzi wa Serikali za Mitaa ambapo leo atazindua
kampeni za CHADEMA kanda ya Serengeti, uzinduzi huo utafanyika Jimbo la Tarime
Mjini



0 Maoni