Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akizungumza na viongozi mbalimbali
pamoja na wananchi wa Sengerema mkoani Mwanza tarehe 13 Oktoba, 2024.
Shamrashamra za mapokezi ya Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, Sengerema mkoani
Mwanza tarehe 13 Oktoba, 2024.
Muonekano wa Daraja la JP. Magufuli
linalounganisha eneo la Kigongo (Misungwi) na Busisi (Sengerema) lenye urefu wa
km 3 pamoja na barabara unganishi zenye urefu wa km 1.66. Mkoani Mwanza tarehe
13 Oktoba, 2024. Ujenzi wa daraja hilo umefikia asilimia 93 na linatarajiwa
kukamilika mwezi Februari, 2025.

0 Maoni