Rais Samia aongoza Kikao cha Baraza la Mawaziri

 


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akielekea kwenye Kikao cha Baraza la Mawaziri kilichofanyika katika Ikulu ndogo ya Tunguu Zanzibar tarehe 25 Oktoba, 2024.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan aongoza Kikao cha Baraza la Mawaziri kilichofanyika Ikulu ndogo ya Tunguu Zanzibar tarehe 25 Oktoba, 2024.

Chapisha Maoni

0 Maoni