Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akishiriki kwenye mjadala (round tables
discussion) kuhusu Kilimo barani Afrika, katika Mji wa Des Moines, Iowa nchini
Marekani tarehe 30 Oktoba, 2024. Mjadala huo ambao uliandaliwa na Benki ya
Maendeleo Afrika (AfDB) ulihudhuriwa na viongozi mbalimbali kutoka barani
Afrika, Serikali na Sekta binafsi ya Marekani hususan waliopo kwenye sekta ya
kilimo.

Viongozi mbalimbali wakifuatilia mjadala
kuhusu Kilimo Barani Afrika katika Mji wa Des Moines, Iowa nchini Marekani
kando ya mjadala wa Kimataifa wa Norman E. Borlaung ambao umeandaliwa na
Taasisi ya World Food Foundation tarehe 30 Oktoba, 2024.

0 Maoni