Waziri Mkuu Kassim Majaliwa
akizungumza na Naibu Waziri Ofisi ya Rais TAMISEMI, Dkt. Festo Dugange, Bungeni
jijini Dodoma Oktoba 29, 2024. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akizungumza na Mwanasheria Mkuu wa Serikali Hamza Johari, Bungeni jijini Dodoma Oktoba 29, 2024. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa
akizungumza na Mbunge wa Gairo Ahmed Shabiby, Bungeni jijini Dodoma Oktoba 29,
2024. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
0 Maoni