Rais Samia azindua shule Dkt. Samia Suluhu Hassan

 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akizungumza na wanafunzi, wazazi na wananchi mara baada ya kuzindua Shule ya Sekondari ya Wasichana ya Mchepuo wa Sayansi na Sanaa ya Dkt. Samia Suluhu Hassan iliyopo katika kitongoji cha Migeregere kata ya Rwinga, Wilaya ya Namtumbo, Mkoani Ruvuma jana tarehe 27 Septemba, 2024.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja na Wanafunzi wa Shule ya Sekondari ya Wasichana ya Mchepuo wa Sayansi na Sanaa ya Dakta Samia Suluhu Hassan iliyopo katika kitongoji cha Migeregere kata ya Rwinga, Wilaya ya Namtumbo, Mkoani Ruvuma jana tarehe 27 Septemba, 2024.

Wanafunzi wa Shule ya Sekondari ya Wasichana ya Mchepuo wa Sayansi na Sanaa ya Dkt. Samia Suluhu Hassan iliyopo katika kitongoji cha Migeregere kata ya Rwinga, Wilaya ya Namtumbo, Mkoani Ruvuma wakipunga bendera zao kwa furaha wakati wa hafla ya kuzindua shule yao iliyozinduliwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan.

Chapisha Maoni

0 Maoni