Rais Samia akutana na IGP Wambura Ikulu ya Dar

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye mazungumzo na Mkuu wa Jeshi la Polisi Tanzania (IGP) Camillus Wambura pamoja na Makamishna wa Jeshi hilo yaliyofanyika Ikulu Jijini Dar es salaam tarehe 20 Septemba, 2024.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja na Mkuu wa Jeshi la Polisi Tanzania (IGP) Camillus Wambura mara baada ya mazungumzo yao yaliyofanyika Ikulu Jijini Dar es salaam tarehe 20 Septemba, 2024.

Chapisha Maoni

0 Maoni